Utangulizi MARKO 16:16 inasema, “Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.” Petro 3:21 pia inasema, “Na ubatizo wa maji ni mfano wake, ambao sasa unatuokoa sisi (siyo kuondoa uchafu wa mwili, bali ni majibu ya dhamiri njema mbele za…
Soma zaidi »Mungu anawajali wanawake kama vile tu anavyowajali wanaume . Ndiyo, wanawake ni muhimu nyumbani, kanisani, na kwenye jamii kama wanaume walivyo. Katika Kristo, wanawake wana nafasi sawa ya kufurahia baraka za kiroho mbele za Mungu kama wanaume wanav…
Soma zaidi »Waebrania 13:8
5 Angalieni, nitawapelekea Eliya nabii, kabla haijaja siku ile ya Bwana, iliyo kuu na kuogofya. 6 Naye ataigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto wao, na mioyo ya watoto iwaelekee baba zao, ili nisije nikaipiga dunia kwa laana.
Tufuate kwenye Mitandao